Hii ndiyo nyumba ambapo Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete alizaliwa na kukulia, katika nyumba hii iliyopo katika kijiji cha Msoga,Bagamoyo kilomita 10 toka Chalinze-Tanzania .
Mei 29,2008 mbio za Mwenge wa Uhuru zilizinduliwa na Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda mahali hapa na serikali ikajenga mnara wa kumbukumbu katika eneo hilo





2 comments:
Hodi mwenyewe nimekuja kukusalimia nimekupata kwa dada Koero. Karibu Kibarazani kwangu
Asante sana huwa nakutembelea sana inaonekana huwa sibishi hodi ha ha ha
Post a Comment